Ufafanuzi wa vuvuwele katika Kiswahili

vuvuwele

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa na jua; mawingu mengi.

Matamshi

vuvuwele

/vuvuwɛlɛ/