Ufafanuzi wa vuvuzela katika Kiswahili

vuvuzela

nominoPlural vuvuzela

  • 1

    tarumbeta refu la kienyeji linalopulizwa bila kubonyeza vali.

Matamshi

vuvuzela

/vuvuzɛla/