Ufafanuzi wa vyoga katika Kiswahili

vyoga

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    ponda kwa miguu au kitu kingine.

    kanyaga, liwata

Matamshi

vyoga

/vjoga/