Ufafanuzi msingi wa waa katika Kiswahili

: waa1waa2

waa1

kitenzi sielekezi~ka, ~sha

 • 1

  zagaa au enea kwa nuru; toa nuru; toa mwangaza.

  ng’aa

 • 2

  toa moto.

Matamshi

waa

/wa:/

Ufafanuzi msingi wa waa katika Kiswahili

: waa1waa2

waa2

nominoPlural mawaa

 • 1

  alama au tone ambalo lina rangi tofauti na mwili wa kitu.

  paku, bato, doa

Matamshi

waa

/wa:/