Ufafanuzi msingi wa wadi katika Kiswahili

: wadi1wadi2wadi3

wadi1

nominoPlural wadi

  • 1

    (mkato wa asili ya neno waladi ambalo hutumika katika kulitaja jina la baba la mtoto wa kiume bila ya kulitaja jina la mtoto huyo) mwana wa kiume wa.

Ufafanuzi msingi wa wadi katika Kiswahili

: wadi1wadi2wadi3

wadi2

nominoPlural wadi

  • 1

    eneo la utawala lililo kubwa kuliko kijiji au mtaa na dogo kuliko tarafa.

    kata, lokesheni

Ufafanuzi msingi wa wadi katika Kiswahili

: wadi1wadi2wadi3

wadi3

nominoPlural wadi

Asili

Kng

Matamshi

wadi

/wadi/