Ufafanuzi wa wadia katika Kiswahili

wadia

kitenzi sielekezi

  • 1

    fika au timia wakati.

    ‘Msimu wa kupanda umewadia’
    fika

Matamshi

wadia

/wadija/