Ufafanuzi wa waidhi katika Kiswahili

waidhi, aidhi

kitenzi elekezi

  • 1

    toa hotuba au maelezo ya dini ili kueleza au kuonya watu.

    hubiri

Asili

Kar