Ufafanuzi wa waipa katika Kiswahili

waipa

nomino

  • 1

    kifaa cha chuma kama mkono, chenye raba, kinachotumika kusafisha au kufuta uchafu, matone ya mvua au theluji, n.k. kwenye kioo cha mbele au nyuma cha gari.

Asili

Kng

Matamshi

waipa

/wajipa/