Ufafanuzi wa wajibika katika Kiswahili

wajibika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kosa hiari katika kufanya jambo; lazimika kutekeleza.

    lazimika

Asili

Kar

Matamshi

wajibika

/waʄibika/