Ufafanuzi wa wajibu katika Kiswahili

wajibu

nomino

  • 1

    jambo linalomlazimu mtu kulitimiza; jambo ambalo mtu hana hiari nalo katika kulifanya.

    ‘Ni wajibu wa kila mzazi kumlea mtoto wake’
    sharti, faradhi, jukumu

Asili

Kar

Matamshi

wajibu

/waʄibu/