Ufafanuzi msingi wa wajihi katika Kiswahili

: wajihi1wajihi2

wajihi1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    onana na; kutana na.

Asili

Kar

Matamshi

wajihi

/waʄihi/

Ufafanuzi msingi wa wajihi katika Kiswahili

: wajihi1wajihi2

wajihi2

nomino

  • 1

    sura ya mtu.

    uso

Asili

Kar

Matamshi

wajihi

/waʄihi/