Ufafanuzi msingi wa wakaa katika Kiswahili

: wakaa1wakaa2

wakaa1

nominoPlural nyakaa

  • 1

    kipindi cha muda maalumu wa kufanya jambo.

    wakati

Asili

Kar

Matamshi

wakaa

/waka:/

Ufafanuzi msingi wa wakaa katika Kiswahili

: wakaa1wakaa2

wakaa2

nominoPlural nyakaa

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    muda utumikao katika kutamka sauti yoyote iwayo.

Asili

Kar

Matamshi

wakaa

/waka:/