Ufafanuzi wa wakala katika Kiswahili

wakala

nomino

  • 1

    mwakilishi wa kampuni au shirika kwenye shughuli au biashara.

    ajenti, mwakilishi, mjumbe

Asili

Kar

Matamshi

wakala

/wakala/