Ufafanuzi wa wakatabahu katika Kiswahili

wakatabahu

kielezi

  • 1

    (neno linalotumika kumalizia barua) mimi mwandishi.

Asili

Kar

Matamshi

wakatabahu

/wakatabahu/