Ufafanuzi wa wakfu katika Kiswahili

wakfu

nominoPlural wakfu

  • 1

    mali maalumu inayotengwa kwa ajili ya shughuli za dini au jamii ambayo mwenye mali au jamaa zake hawana mamlaka nayo tena.

    ‘Weka wakfu’
    ‘Shamba langu nimeliweka wakfu kwa ajili ya msikiti huu’

Matamshi

wakfu

/wakfu/