Ufafanuzi wa wakili katika Kiswahili

wakili

nominoPlural mawakili

  • 1

    mwanasheria anayemtetea mshtaki/ mlalamishi au mshtakiwa katika kesi mahakamani.

  • 2

    mtu anayepewa uwezo na mtu mwingine kusimamia mashauri yake.

    ‘Wakili Mkuu wa Serikali’

Asili

Kar

Matamshi

wakili

/wakili/