Ufafanuzi wa wala katika Kiswahili

wala

kiunganishi

  • 1

    neno linalotumika katika kuonyesha baina ya mambo mawili au zaidi ambayo kutendeka kwake ni kwa kukanusha na kulinganisha.

    ‘Si mrefu wala si mfupi’

Asili

Kar

Matamshi

wala

/wala/