Ufafanuzi wa walau katika Kiswahili

walau, alau

kiunganishi

  • 1

    ‘Kama huna shilingi tano basi nipe walau mbili’
    angalau, hata

Matamshi

walau

/walawu/