Ufafanuzi msingi wa wamba katika Kiswahili

: wamba1wamba2wamba3

wamba1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  tandaza na funga kitu k.v. ngozi kwenye ngoma au kamba kwenye kitanda.

  tanda

Matamshi

wamba

/wamba/

Ufafanuzi msingi wa wamba katika Kiswahili

: wamba1wamba2wamba3

wamba2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  ishiwa na fedha; kuwa katika shida ya fedha za matumizi.

Matamshi

wamba

/wamba/

Ufafanuzi msingi wa wamba katika Kiswahili

: wamba1wamba2wamba3

wamba3

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  enea kila mahali.

  zagaa

Matamshi

wamba

/wamba/