Ufafanuzi wa wango katika Kiswahili

wango

nomino

  • 1

    namna ya kuhesabu.

    idadi

Matamshi

wango

/wangÉ”/