Ufafanuzi msingi wa wano katika Kiswahili

: wano1wano2

wano1

nominoPlural mawano

  • 1

    uti wa mkuki, mshale au chusa.

    mpini

Matamshi

wano

/wanɔ/

Ufafanuzi msingi wa wano katika Kiswahili

: wano1wano2

wano2

nominoPlural mawano

  • 1

    kijiti kinachotumika na vingine vitatu kuweza kumkamatia mhalifu baada ya kusomewa.

Matamshi

wano

/wanɔ/