Ufafanuzi wa wanzuki katika Kiswahili

wanzuki

nominoPlural wanzuki

  • 1

    pombe inayotengenezwa kwa asali.

Matamshi

wanzuki

/wanzuki/