Ufafanuzi msingi wa waraka katika Kiswahili

: waraka1waraka2waraka3waraka4

waraka1

nominoPlural nyaraka

 • 1

  maandishi yanayoandikiwa mtu kutoka kwa mwingine kwa madhumuni ya kuarifu.

  andiko, folio, barua

Asili

Kar

Matamshi

waraka

/waraka/

Ufafanuzi msingi wa waraka katika Kiswahili

: waraka1waraka2waraka3waraka4

waraka2

nominoPlural nyaraka

 • 1

  hati yenye habari.

  ‘Nyaraka za habari’
  ‘Nyaraka za taifa’

Asili

Kar

Matamshi

waraka

/waraka/

Ufafanuzi msingi wa waraka katika Kiswahili

: waraka1waraka2waraka3waraka4

waraka3

nominoPlural nyaraka

 • 1

  orodha ya vitu vya biashara.

  ankra

Asili

Kar

Matamshi

waraka

/waraka/

Ufafanuzi msingi wa waraka katika Kiswahili

: waraka1waraka2waraka3waraka4

waraka4

nominoPlural nyaraka

 • 1

  kipande kidogo cha karatasi kinachotumiwa kusokotea tumbaku ili kufanyiza sigara.

Asili

Kar

Matamshi

waraka

/waraka/