Ufafanuzi wa waranti katika Kiswahili

waranti

nominoPlural waranti

  • 1

    hati ya kutoa amri ya kufanya jambo k.v. kukamata mtu au mali, kufunga gerezani au kuita mahakamani ili kutoa ushahidi.

  • 2

    hati ya kupata huduma k.v. za kusafiri, bila ya kulipa fedha taslimu.

Asili

Kng

Matamshi

waranti

/waranti/