Ufafanuzi wa wasaa katika Kiswahili

wasaa

nominoPlural wasaa

  • 1

    nafasi ya wakati anayokuwa nayo mtu.

    ‘Sina wasaa wa kufanya jambo jingine lolote’
    faragha, fursa, wakati, mwanya, muda

Asili

Kar

Matamshi

wasaa

/wasa:/