Ufafanuzi msingi wa washa katika Kiswahili

: washa1washa2

washa1

kitenzi elekezi~wa, ~ia, ~ka, ~iana, ~iwa

 • 1

  choma mwilini ndani kwa ndani na kuhisi kutaka kujikuna.

  ‘Mwili unaniwasha’
  ‘Upele unaniwasha’
  cheneta

Matamshi

washa

/wa∫a/

Ufafanuzi msingi wa washa katika Kiswahili

: washa1washa2

washa2

kitenzi elekezi~wa, ~ia, ~ka, ~iana, ~iwa

 • 1

  fanya moto uwake.

 • 2

  fanya chombo k.v. taa au balbu ianze kutoa mwangaza.

 • 3

  fanya mashine ianze kufanya kazi.

Matamshi

washa

/wa∫a/