Ufafanuzi wa wasifu katika Kiswahili

wasifu

nominoPlural wasifu

  • 1

    maelezo juu ya mambo, matendo na tabia ya mtu.

Asili

Kar

Matamshi

wasifu

/wasifu/