Ufafanuzi wa wasiliana katika Kiswahili

wasiliana

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa na pokea habari toka kwa mtu au watu juu ya jambo fulani.

Matamshi

wasiliana

/wasilijana/