Ufafanuzi wa wasionacho katika Kiswahili

wasionacho

nominoPlural wasionacho

  • 1

    watu maskini wasiomiliki mali yoyote.

Matamshi

wasionacho

/wasijɔnatʃɔ/