Ufafanuzi wa wasiwasi katika Kiswahili

wasiwasi

nominoPlural wasiwasi

  • 1

    hangaiko la moyo.

    jakamoyo, machugachuga, mfundo, rangaito, taharuki, dukuduku, wahaka, kindumbwendumbwe, kimuyemuye, kiwewe, hamamko, hangaiko, fukuto, kiherehere, fikira

  • 2

    hali ya kutokuwa na hakika ya jambo.

    hatihati, tuhuma, shaka, dhaa, tashwishi, fadhila

Asili

Kar

Matamshi

wasiwasi

/wasiwasi/