Ufafanuzi wa wastani katika Kiswahili

wastani

nominoPlural wastani

  • 1

    kiwango cha kati cha hesabu au kadiri ya kitu.

    ‘Kwa wastani ,thamani ya nyumba hii ni shilingi milioni ishirini’
    kadiri

Asili

Kar

Matamshi

wastani

/wastani/