Ufafanuzi wa watani katika Kiswahili

watani

nominoPlural watani

  • 1

    sehemu ya nchi au mji ambapo mtu ana asili napo.

    ‘Mji huu ndio watani wetu’

Asili

Kar

Matamshi

watani

/watani/