Ufafanuzi wa wavu katika Kiswahili

wavu

nominoPlural nyavu

  • 1

    utando wa nyuzi zilizosukwa na kuacha sehemu zenye uwazi ili kufanyia shughuli mbalimbali k.v. kuvulia samaki, kutegea wanyama au kufunga kwenye miti ya goli.

Matamshi

wavu

/wavu/