Ufafanuzi wa wawa katika Kiswahili

wawa

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    washa kwa mwili k.v. baada ya kutambaliwa na mdudu.

    ‘Mwili mzima unaniwawa’

Matamshi

wawa

/wawa/