Ufafanuzi wa wawe katika Kiswahili

wawe, vave

nominoPlural wawe

  • 1

    nyimbo zinazoimbwa na Waswahili wakati wa sherehe za kuchoma mabiwi katika shamba ili kuwa tayari kwa kulima.

Matamshi

wawe

/wawɛ/