Ufafanuzi msingi wa waya katika Kiswahili

: waya1waya2

waya1

nominoPlural nyaya

  • 1

    kigae cha chombo cha udongo kinachotumika kwa kuokea chakula au kupalia moto.

Matamshi

waya

/waja/

Ufafanuzi msingi wa waya katika Kiswahili

: waya1waya2

waya2

nominoPlural nyaya

  • 1

    uzi wa metali.

    ‘Waya wa simu’

Asili

Kng

Matamshi

waya

/waja/