Ufafanuzi wa waza katika Kiswahili

waza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tumia ubongo kwa kutatua matatizo au kuelewa zaidi jambo.

    fikiri, tafakari, hesabu, zingatia, taamali, hisi

Matamshi

waza

/waza/