Ufafanuzi msingi wa wazi katika Kiswahili

: wazi1wazi2

wazi1

kivumishi

 • 1

  -enye kuonekana; -enye kutofungwa au kufunikwa.

  ‘Aliacha mlango wazi’
  dhahiri

 • 2

  ‘Anafanya maovu wazi , wala haoni haya’
  kichele, bayana

Asili

Kar

Matamshi

wazi

/wazi/

Ufafanuzi msingi wa wazi katika Kiswahili

: wazi1wazi2

wazi2

kielezi

 • 1

  bila ya kificho.

  wadhika, dhihiri

Asili

Kar

Matamshi

wazi

/wazi/