Ufafanuzi wa wazimu katika Kiswahili

wazimu

nominoPlural wazimu

  • 1

    uharibikaji wa akili.

    kichaa, mbulu

Matamshi

wazimu

/wazimu/