Ufafanuzi wa waziri Mkuu katika Kiswahili

waziri Mkuu, waziri Kiongozi

  • 1

    mkuu wa baraza la mawaziri na shughuli za serikali ambaye siye mkuu wa nchi.