Ufafanuzi wa waziwazi katika Kiswahili

waziwazi

kielezi

  • 1

    bila kuficha na kwa kueleweka.

    kimachomacho, kinagaubaga, dhahiri, paruwanja, jahara, bayana, kinaganaga

Matamshi

waziwazi

/waziwazi/