Ufafanuzi wa wekesha katika Kiswahili

wekesha

kitenzi elekezi

  • 1

    kata tiketi kwa ajili ya safari hususan siku au saa kadhaa kabla ya safari.

Matamshi

wekesha

/wɛkɛ∫a/