Ufafanuzi wa wema katika Kiswahili

wema

nominoPlural wema

  • 1

    hali ya matendo mazuri.

    uzuri, fadhila, jamala, lila, hisani, hasanati, moyo

Matamshi

wema

/wɛma/