Ufafanuzi wa wembe katika Kiswahili

wembe

nominoPlural nyembe

  • 1

    kifaa kidogo cha madini chenye umbo bapa na chenye makali pande zote mbili, kinachotumika kwa kunyolea.

Matamshi

wembe

/wɛmbɛ/