Ufafanuzi wa wengo katika Kiswahili

wengo

nomino

  • 1

    kisu kinachofanana na kotama kinachotumiwa kwa kugemea.

Matamshi

wengo

/wɛngɔ/