Ufafanuzi wa wengu katika Kiswahili

wengu

nominoPlural mawengu

  • 1

    kiungo cha ndani ya mwili kilichogandamana na tumbo kwa upande wa kushoto.

    bandama

Matamshi

wengu

/wɛngu/