Ufafanuzi wa werevu katika Kiswahili

werevu

nominoPlural werevu

  • 1

    hali ya kutumia akili na hila ili kupata jambo au kitu.

    ujanja, akili, fahamu, bongo

Matamshi

werevu

/wɛrɛvu/