Ufafanuzi msingi wa weupe katika Kiswahili

: weupe1weupe2

weupe1

nomino

Matamshi

weupe

/wɛupɛ/

Ufafanuzi msingi wa weupe katika Kiswahili

: weupe1weupe2

weupe2

nomino

  • 1

    rangi inayofanana na pamba au maziwa.

  • 2

    kinyume cha weusi.

Matamshi

weupe

/wɛupɛ/