Ufafanuzi wa weusi katika Kiswahili

weusi

nominoPlural weusi

  • 1

    rangi yenye giza k.v. ya makaa au lami.

  • 2

    kinyume cha weupe.

Matamshi

weusi

/wɛusi/