Ufafanuzi wa wewe katika Kiswahili

wewe

kiwakilishi

  • 1

    (nyinyi) nafsi ya pili katika umoja.

    ‘Wewe ndiwe uliyeitwa’

Matamshi

wewe

/wɛwɛ/